ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, December 29, 2012

Load ayes kutengwa na kundi la Weusi ?bado katika chati ya hip hop?


Mkali wa bongo wa bongo flaver katika hip hop alipowagawisha baadi ya mashabiki katika show ya weusi ilifanyika wiki ilipita katika ukumbi wa new maisha club , ilionyesha mkali huyo bado yuko katika chart ya mziki wakati alikuwa akikabiliwa na tuhuma za wizi wa vifaa vya magari na madawa ya kulevya siku za usoni  jijini .lakini bado imeonekana mashabiki wanamkubali ngoma zake na kufeel hip hop ya mkali huyo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...