ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, December 29, 2012

Wema sepetu Martini kadinda kuna cha ziada?


MASWALI matatu yamegubika ukaribu wa ‘ziro distensi’ kati ya Miss Tanzania 2006
ambaye pia ni staa wa filamu za Bongo, Wema Sepetu na mbunifu wa mavazi, Martin Kadinda, hii ni baad ya kuwa maneger maswali yamekuwa wakijiuliza baada ya kupata tuzo ya swahili fashion mkali martin kadinda eti inasadikika bata la wasanii hao lilikwenda kulika SA south africa wakati zikitumwa picha mbali wakiwa katika hotel nchini humo wakila bata ndefu je swali ni zaidi ya Umeneja ?au kuna lolotee hapa tiririkaaaaaaaaaaaa welaaaaa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...