Madaktari wa Uingereza wameokoa maisha ya mgonjwa wao kwa kutumia njia ya kienyeji. Madaktari hao baada ya kujaribu kutumia njia na dawa zilizozoeleka kushindikana, waliamua kutumia pommbe aina ya ethanol (hii inatumika kuchanganya kwenye gongo ili iwe kali sana). Walimimina pombe hiyo kwenye mshipa aina ya artery unaotumika kurudisha damu kwenye moyo.
Ronald
Aldom aged 77, anayetoka Portishead karibu na Bristol, alikuwa na matatizo makubwa katika mapigo yake ya moyo ugonjwa unaojulikana kwa kitaalamu kama ventricular tachychardia ambao huua mgonjwa mara moja kama hajapatiwa matibabu sahihi.
Baada ya jitihada za kumtibu kwa dawa za kawaida kushindikana kabisa waliamua kumwekea hiyo Gongo kwenye huo mshipa (artery) ambayo iliua sehemu ya misuli ya moyo ambayo ilikuwa imeathirika ili moyo uendelee kugonga kama kawaida. Baada ya Pombe hiyoo wenye moyo kwa kupitia mishipa na kwa mmaslum ya computer Ronald ali na sasa anadunda mitaani na mke wake huku akigonga ulabu kama kawaida kama anavyoonekana katika picha ya chini
Roland Aldom akipiga sheers na mke wake akiwashukuru madaktari waliookoa maisha yake kwa kuamua kumwekea pombe kali kwenye moyo
Kifaa kinachoitwa Catheter kinatumika kugundua ni sehemu gani ya moyo ina matatizo, kisha kiasi cha pombe kali humumunw mshipa ili kufikia ile sehemu iliyoathirika. Pombe hii kali huua kabisa lile eneo lililo na ugonjwa hivyo kusababisha damu kuendelea kusunguka sehemu nyingine za moyo na mapigo ya moyo kuendelea kupiga kama kawaida.
(kwa wale wasiotumia kilevi watakubali kufa au utakubali kuwekewa tu pombe kidogo uhai urudi?)
Mashine inayopima mapigo ya moyo.
No comments:
Post a Comment