ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Sunday, December 30, 2012

Man United yaendeleza ushindi wao



Robin Van Persie
Robin Van Persie akisherehekea bao lake
   

Manchester United jana imeilaza West Brom magoli 2-0 na kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye msururu wa ligi kuu ya Premier ya England, mwanzo wa mwaka ujao wa 2013.
Gareth McAuley alijifunga mwenye na kuipa Manchester United, bao lao la kwanza kabla ya Robin Van Persie kufunga bao la pili.
Baada ya mechi ishirini Mancheter United, inaongoza msururu wa ligi na alama 49, alama saba mbele ya mabingwa watetezi Manchester City.
Mabingwa hao watetezi pia walishinda mechi yao dhidi ya Norwich City kwa magoli 4-3.
Edin Dzeko alifunga magoli matatu wakati wa mechi hiyo ambayo Manchester City ilimaliza ikiwa na wachezaji kumi pekee baada ya Samir Nasri kupewa kadi nyekundu.


nane pekee.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...