ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Sunday, December 30, 2012

Vijana wasiozidi miaka 14 Marekani wamuua mwanadada baada ya kuwaambia acheni kuomba sigara ‘katafuteni kazi



                                       
Marcus Velasquez akionyesha alama ya kutukana katika picha yake kwenye mtandao wa facebook


              

Todavia Cleckley Akifanya mazoezi ya kutumia silaha mwaka 2007

 
Sehemu Mauaji yalipotokea
 
Polisi nchini Marekani imesema wavulana wawili wenye umri wa miaka 13 na 14 wanashitakiwa kwa mauaji mabaya baada ya kumpiga risasi mwanamke mmoja mkazi wa Pennsylvania, waliyekuwa wame-mtageti , baada ya mwanamke huyo kuwaambia wakatafute kazi.
Polisi wameongeza kuwa katika tukio hilo jumla ya vijana watatu wanatuhumiwa kwa mauaji ya mwanamama huyo ambaye walimvamia, baada ya kuwaambia katafuteni kazi, alipoona wanambugudhi mchumba wake wakimuomba sigara.
Kituo cha Polisi cha Beaver Falls kimefungua mashitaka dhidi ya Todavia Cleckley na Marcus Velasquez wenye umri wa miaka 14 na Kyle Goosby Jr. mwenye miaka 13, kwa uhalifu wa mauaji ya Kayla Peterson (22).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...