Meya
wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akikabidhiwa gazeti
jipya la Dar Metro na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts
Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini
kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo
linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji. (PICHA NA
RICHARD MWAIKENDA)
Meya
wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akisoma gazeti
jipya la Dar Metro alilopelekewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto
(kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu
kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa
wasomaji.Kampuni hiyo huchapisha pia magazeti ya Jambo Leo, jarida la
Jambo Brand Tanzania na Staa Spoti. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Massaburi akilipitia vizuri gazeti hilo litakalokuwa linaandikwa kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza.
Pinto akizungumza na Massaburi.
No comments:
Post a Comment