Nimetumiwa picha hii na rafiki yangu kwenye account yangu ya gmail nikaona ni bra tutafakari sote.
Bado ukeketaji unaendelea tena kwa kienyeji kabisa bila agnzi, bila vyombo vilivyooshwa vizuri, bila gloves, wembe mmoja watoto wengi........ dah!
The picture is credited to:
Demetria Kalogosho
demetria.kalogosho@tgnp.org
KWELI SASA NIUNYANYASAJI MAPAKA MTOTO MDOGO JAMANI TUBADILIKE TWENDENI NAWAKATI
ReplyDelete