Waandishi wa habari wakaa standby kutangaza kifo cha Mandela
Dunia ya Utandawazi hadi inatia hasira. Hapa ni vyombo vya habari vya kimataifa vikiwa vimekaa tayari nje ya hospitali ya kijeshi alimolazwa mzee Mandela wakisubir ili wawe wa kwanza kutangaza bahari endapo atafariki dunia mua wowote.
No comments:
Post a Comment