ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Sunday, December 2, 2012

Wapalestina hatimaye wapewa hadhi ya kuwa taifa linalotambulika Duniani. Abbas apokelewa kwa shangwe

 
Mahmood Abbas akiwa katika Mkutano wa UN wakati alipotoa rasimu ya Taifa la Palestina kutambulika kama Taifa huru na si mtazamaji tu wa Umoja wa mataifa

 
 
 
Umati wa Wawapalestina wajitokeza kwa wingi kumlaki
  
 
 
 
  

 

Rais wa Wapalestina, Mahmoud Abbas, aliwaambia wafuasi maelfu katika Ufukwe wa Magharibi       "tuna taifa sasa".
"Tulikwenda New York, tumebeba ujumbe wa uchungu na ndoto ya watu wetu kukabidhi kwa ulimwengu ujumbe wa haki na uhuru. Ulimwengu umetoa kauli kwa sauti kubwa.
Umesema: ndio liwepo taifa la Palestina. Haki za Wapalestina, ndio. Uhuru wa Palestina, naam.
Uhasama, la. Makaazi ya walowezi, hapana. Kuikalia Palestina, sivyo"
 
Source: BBC News

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...