ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, January 16, 2013

Baada ya Wananchi kuamua kumrushia chupa tupu za maji Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI James Mbatia Kwenye Mkutano Wake wa Hadhara Mtwara Amesema Yaliyomkuta Huko Mtwara ni Kutokana na kilichotokea kimetokana umbea tu wa mwaka mpya 2013


MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia --
-
MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema yaliyomkuta kwenye yake ziara mkoani Mtwara ambako amelazimika kuikatisha, yametokana na umbea aliouita ni wa mwaka 2013.


Mbatia ambaye pia ni Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, alisema hayo jana kwenye Ofisi za Bunge Dar es Salaam.


“Unasemaje (anamuuliza mwandishi), ngoja nikwambie kilichotokea kimetokana na umbea tu wa mwaka mpya 2013, wewe tambua hivyo na sitazungumza lingine zaidi,” alijibu kwa kifupi akionyesha kukwepa kulizungumzia suala hilo zaidi.


 Baadhi ya vyombo vya habari nchini viliripoti kuhusu Mbatia akiwa na wabunge wa chama chake, Moses Machali (Kasulu Mjini ) na Agripina Buyogela (Kasulu Vijijini) walilazimika kujifungia ndani ya ofisi za NCCR- Mageuzi wilayani Mtwara Mjini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...