ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, January 16, 2013

MAJESHI YA UFARANSA YAFANYA KWELI MALI

 
Wanajeshi wa Ufaransa wakijiandaa kwenda Mali
 
Wanajeshi wa ufaransa wakiingia katika Ndege za kijeshi
 

Wanajeshi wa Ufaransa wakiwa katika uwanja wa mapambano huko Mali



 
 


 

ndege za Kivita za ufaransa zikishambulia maeneo ya wanamgambo wa kiislamu

French forces carried out a fresh wave of air strikes against Islamist rebels in Mali yesterday as it emerged one of its pilots had been killed in the operation.

 
Maeneo yaliyoshambuliwa yakiwaka moto

Wanamgambo wa Kiislamu 
   

Wanamgambo wakitibu majeraha ya mashambulizi ya Ufaransa

Wanamgambo wa Kiislamu wakikimbia maeneo waliyoteka

Leo nimekosa muda wa  kutosha kutafsiri habari hii ya vita vya Mali na waasi wa Kiislam wenye msimamo mkali. Serikali ya Ufaransa imesaidia kuzima mashambulio ya wanamgambo hao ambao wapo umbali wa kiloometa 400 kufika mji mkuu wa bamaco. Ndege za kivita za Ufaransa na sasa askari wa miguu wakisaidiana na wale wa Mali wako mstari wa mbele katika kukabiliana na waasi hao. Nigeria nayo inajiandaa kutuma vikosi vyake Mali ambapo Umoja wa Mataifa umebariki usaidizi wa mataifa ya kigeni kusaidia kuzuia waasi hao kusonga mbele. Hata hivyo waasi hao wanaelezwa kuwa na uwezo mkubwa sana wa kivita na silaha nzito kabisa ambazo nyingi zale walizochukua libya. Ikumbukwe kwamba wengi wa waazi hao walikuwa wakimsaidia Ghadafi.
Hata hivyo nitaandaa makala nzuri ya kukufanya uelewe kiini na mwelekeo wa mgogoro huu wa Mali pamoja na updates za vita hivi kadiri siku zinavyoenda. 
Swali ni je, kwanini Ufaransa imeamua kuchukua jukumu la kuingilia kijeshi Mali? Kwanini Afrika ya kati ambayo nayo ilikuwa koloni la mali nayo imekumbwa na vita? Utakumbuka pia Ivory Coast nayo ilisaidiwa na Ufaransa kumwondoa 

(Chini ni habari ya leo ambayo bado haijatafsiria)

French troops will be in direct combat with Islamist militants in Mali "within hours", France's military chief of staff has said.
Admiral Édouard Guillaud said on Wednesday morning that French ground operations had begun overnight – hours after the defence minister, Jean-Yves Le Drian, said France's intervention would continue "as long as necessary".
Le Drian had confirmed on Tuesday night that the French intervention in Mali would take the form of both air and ground operations, while preparations continue for the arrival of a west African force."Now we're on the ground," Guillaud said. "We will be in direct combat within hours."
Guillaud accused the insurgents of taking human shields and said France would do its utmost to make sure civilians were not wrongly targeted. "When in doubt, we will not fire," he said.
President François Hollande said on Tuesday France would only end its intervention in Mali when political stability and an election process had been restored and Islamist groups had been wiped out, raising the prospect of a drawn-out engagement on hostile desert terrain.
And in a sign that the French intervention may trigger further retaliation by militant Islamists, at least eight foreigners were kidnapped in neighbouring Algeria on Wednesday morning.
The foreigners were taken from an oil facility in Ain Amenas in southern Algeria, Reuters reported. French foreign ministry officials said they had no immediate comment on the hostage report and were still trying to verify the information.
A column of French armoured vehicles left Mali's capital Bamako late on Tuesday night and headed north towards insurgent frontlines.



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...