
Ghana
imeifunga Timu ya Misri kwa goli 3-0 katika uwanja wa Zayed uliopo
mjini, Abu Dhabi jana kwenye mechi ya kirafiki. Hii ni katika mechi za
maandalizi ya kombe la Mataifa huru ya Afrika (Afcon) , michuano
inayotarajiwa kuanza Januari 19 mwaka huu nchini Afrika kusini.
Nayo timu
ya Taifa ya Ethiopia iliyofuzu fainali za Afcon inatarajia kujipima
nguvukatika mechi ya kirafiki na timu ya taifa ya Tanzania (taifa
stars).Mechi itachezwa leo (Januari 11) Addis Ababa Stadium kuanzia saa
11.30 jioni
No comments:
Post a Comment