ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, January 4, 2013

MAJONZI, VILIO VYATAWALA WAKATI MWILI WA SAJUKI UKIOMBEWA NYUMBANI KWAKE TABATA JIJINI DAR

 
 Mwili wa Juma Kilowoko 'Sajuki' ukiswaliwa nyumbani kwake Tabata-Bima jijini Dar es Salaam leo kabla ya kwenda kuzikwa.
 
Mwili wa Sajuki ukipelekwa uwanjani kwa ajili ya kuswaliwa na masheikh.…
 
Mwili wa Juma Kilowoko 'Sajuki' ukiswaliwa nyumbani kwake Tabata-Bima jijini Dar es Salaam leo kabla ya kwenda kuzikwa.
 
Mwili wa Sajuki ukipelekwa uwanjani kwa ajili ya kuswaliwa na masheikh.
 
Vilio vikitawala msibani hapo.
 
Mama mzazi wa Sajuki akilia kwa uchungu wakati mwili wa mwanaye ukiswaliwa.
...Ilikuwa ni simanzi nzito.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akiwasili msibani hapo.
Msanii Dokii akiwa msibani hapo wakati wa swala ya kuuombea mwili wa Sajuki.
Umati wa waombolezaji uliohudhuria swala hiyo.
(PICHA: KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHHERS)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...