Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Sadick Juma Kilowoko 'Sajuki' leo.
Baba mzazi wa Sajuki, Mzee Kilowoko akiweka udongo katika kaburi la mwanaye.
---
MAELFU ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam leo wamejitokeza katika…
Umati wa watu waliohudhuria mazishi hayo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Sadick Juma Kilowoko 'Sajuki' leo.
Baba mzazi wa Sajuki, Mzee Kilowoko, akiweka udongo katika kaburi la mwanaye.
.Ukipelekwa makaburini.
...Mwili wa marehemu Sajuki ukipelekwa makaburini kwa maziko.
Kaburi alipolazwa marehemu Sajuki.
Mwili wa Sajuki ukiteremshwa kaburini.
Mazishi ya Sajuki yakiendelea.
Rais Kikwete pamoja na Simon Mwakifwamba wakifuatilia mazishi ya Sajuki.
---
MAMIA
ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam leo wamejitokeza katika makaburi ya
Kisutu jijini Dar es Salaam kumpumzisha mpendwa wao, Sadick Juma
Kilowoko 'Sajuki', aliyefariki dunia alfajiri ya Januari 2, mwaka huu
(Jumatano) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Miongoni mwa
waliomzika Sajuki ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete.
Mazishi ya Sajuki yakiendelea.
MAELFU ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam leo wamejitokeza katika
makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam kumpumzisha mpendwa wao Sadick
Juma Kilowoko 'Sajuki' aliyefariki dunia alfajiri ya Januari 2, mwaka
huu (Jumatano) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Miongoni mwa
waliomzika Sajuki ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya
Mrisho KikwetePicha na habari kwa hisani ya Global Publishers
No comments:
Post a Comment