ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, January 23, 2013

MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA VIFAA VYA KUTUNZIA TAKA

002 
Meneja Mikopo wa BankABC, Eugenia Shayo akikabidhi sehemu ya vifaa 100 vya kubebea taka kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda vyenye thamani ya sh milioni 3.5.
003 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo.
001 
Sehemu ya vifaa vya kubebea taka vilivyokabidhiwa na benki ya BankABC kwa Manispaa ya Kinondoni
 
 

 

Haya ni madumu ya kuhifadhia takataka za aina gani.

Ningefikiri magari ya kukusanyia taka na vifaa maalum kwa wazoa taka?  Haya maplastiki jamani yatafanya kazi gani? Labda kuwelea makaratasi ya maofisini otherwise....

 
 
 
 
 
 
 

1 comment:

  1. aliyefanya ivyo amekosa kazi angalau angetoa gari lakubeba taka kuliko magelini yamaji

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...