MwenyekitiwaTume ya Mabadiliko ya Katiba,
Jaji Joseph Warioba akizungumza na Viongoziwa Chama cha Democratic (DP)
wakiongozwanaMwenyekitiwaoMchungaji Christopher Mtikila(kushoto) waliofikakatika Ofisiza Tume Jijini
Dar es Salaam kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
Katikati ni Katibu waTume, Assaa Rashid.
Mwenyekitiwa
Chama
cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila akizungumza katika
mkutano uliofanyika leo katika Ofisiza Tume hiyo Jijini Dar es Salaam na
Chama hicho kilipowasilisha maoniyao Kuhusu Katiba Mpya mbele ya
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakiongozwa na Jaji
Joseph Warioba. Kuliani Katibu waTume, Assaa Rashid na Mwenyekiti wa
Tume hiyo, Jaji
Joseph Warioba.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Wakulima (AFP), Rashidi Mohamed akiwasilisha maoni yao kuhusu Katiba kwa Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Karimjee
Jijini Dar es Salaam jana.
Mjumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ndg. Riziki Mngwali akizungumza katika mkutano uliofanyika
katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam baina ya Tume hiyo na Chama
cha Wakulima (AFP), wakati ujumbe wa Chama hicho ulipowasilisha maoni yao kuhusu
Katiba Mpya jana.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Raya Hamad akizungumza
katika mkutano na Viongozi wa Chama cha Wakulima (AFP) uliofanyika katika viwanja
vya Karimjee Jijini Dar es Salaam wakati Chama
hicho kilipowasilisha maoni yao
kuhusu Katiba Mpya jana.
Mjumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kushoto) akizungumza katika mkutano na
Viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK) uliofanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini
Dar es Salaam wakati Chama hicho kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya jana.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Eather Mkwizu (kulia) akizungumza
katika mkutano na Viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK) uliofanyika katika
Viwanja vya Karimjee Jijini Dar
es Salaam wakati Chama
hicho kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya janA.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ussi Khamis, akizungumza katika mkutano na viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK),
uliofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, wakati Chama
hicho kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya jana..
Mwenyekiti
wa Chama cha Kijamii (CCK), Constantine Makitanda akizungumza katika mkutano uliofanyika
katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam
na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba mara baada ya Chama hicho kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya jan.
Baadhi
ya Viongozi wa Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD) wakifuatilia mkutano
baina yao na Tume ya Mabadiliko ya Katiba jana,
ambapoUongozi wa Chama hicho uliwasilisha maoni yao ya Katiba Mpya.Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
No comments:
Post a Comment