ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Sunday, January 27, 2013

Rais Kikwete katika mkutano wa APRM na AU Jijini Addis Ababa


Rais  Jakaya Mrisho  Kikwete akihutubia  mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia  Januari 27, 2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
Rais  Jakaya Mrisho  Kikwete  na ujumbwe wake akitoka nje ya ukumbi baada ya kuhutubua  mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa nane toka kulia, akiwa na viongozi wenzake katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Januari 27, 2013.(PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...