
Kundi
la Scorpion Girls likiongozwa na Isabela Mpanda (katikati)
likiporomosha burudani wakati wa Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu
lililofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.

Mrembo Jacqueline Wolper akiwapa 'hi' mashabiki.
Jacob Steven 'JB' akionyesha umahiri wake wa kusakata rhumba wakati wa tamasha hilo.

Steve Nyerere naye akionyesha manjonjo yake stejini.
Mastaa wa filamu wakiwa jukwaani kuwasalimia mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.

Snura Mushi akiwapagawisha mashabiki.

Msanii Afande Sele akiwarusha mashabiki ndani ya Dar Live.
Tundaman akiwachizisha mashabiki.
...akizidi kuwapa raha mashabiki.
Kingwendu akifanya vitu vyake.
Richie naye akionyesha ufundi jukwaani.

















---
Tamasha
la Usiku wa Mastaa wa Filamu lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika
Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar
es Salaam limeacha historia baada ya kutawaliwa na burudani za kila
aina kutoka kwa wasanii wa filamu na wale wa Bongo Fleva. Pichani juu ni
baadhi ya matukio yaliyochukua nafasi wakati wa tamasha hilo.PICHA
ZOTE: ERICK EVARIST NA MUSA MATEJA/GPL
No comments:
Post a Comment