
Baba Mtakatifu Benedict wa XVI

Joseph Ratzinger - Pope Benedict akiwa mtoto

Akiwa askari wa Hitler wakati wa vita vya pili vya dunia



Joseph Ratzinger akiwa Padre kijana miaka ya 1950

8 July 1951, siku aliposoma misa yake ya kwanza kama padre


1970 alikuwa mwalimu mashuhuri wa Theologia


Siku alipotangazwa kuwa Baba mtakatifu wa 265 Jumanne, April 19, 2005. na kuchagua jina la Benedict XVI.

Akisalimia waumini kwa mara ya kwanza kama baba mtakatifu

Akiwa na mtangulizi wake Papa John Paul II

Akiwa na rais Obama na mama Obama

Baba Mtakatifu Benedict wa XIV ameushangaza ulimwengu baada ya kutangaza kuwa atajiuzulu wadhifa huo ifikapo mwisho wa mwezi huu.Baba Mtakatifu Benedict anakuwa Kiongozi wa kwanza wa Kanisa Katoliki kujiuzuli baada ya zaidi ya miaka 600 kwa sababu " hana nguvu tena ya kuendelea na utume huo"
No comments:
Post a Comment