ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, March 26, 2013

Karibia eneo lote la Dar es Salaam liko bondeni. Muhimu ni miundombinu ambayo haikuwekwa kwa namna ya kupambana na hali mbaya ya hewa hasa wakati huu wa mabadiliko ya tabia nchi. Kwa jiji linalikuwa kwa kasi ya ajabu kama Dar es Salaam, tatizo la mafuriko litakuwa kubwa sana kama tutakuwa tunaongelea tu tatizo hilo pindi mafuriko yanapotokea. Hili ni tatizo linalohitaji kuundiwa sera kama barabara na maji na umeme.


Mkazi wa Tabata Relini akiangua kilio baada ya maji kufurika nyumbani kwake

Taswira ya matokeo ya mvua iliyonyesha juzi jijini dar es salaam na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchoi wa jiji hilo kupatwa na shida baada ya mvua hiyo kusababisha mafuriko baadhi ya maeneo ya jiji hilo ususani wale wanaoishi mabondeni.
 
Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa katika harakati za kutaka kuvuka mara baada ya mvua kubwa kunyesha hapo jana eneo la Posta Mpya.
Baada ya Mvua Kubwa Kunyesha jana jijini Dar es Salaam na hii ndio hadha ya Mvua baada ya kunyesha.Eneo la Posta Mpya linavyoonekana mara baada ya mvua kukatika
Hali ilivyokuwa Posta Mpya jana mara baada ya mvua kunyesha
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...