Wakili
wa Rwakatare, Tundu Lisu (kulia) akimuelekeza jambo Mbuge wa Arusha
Mjini, Godbless Lema wakati wakijaribu kuandaa mipango ya dhamana.

Wakili Nyaronyo Kicheere akimuelekeza jambo Godbless Lema baada ya kesi kuahirishwa, kulia ni Tundu Lisu.

Mke wa Rwakatare akitahayari baada ya mumewe kunyimwa dhamana.
Source: Global Publishers
No comments:
Post a Comment