ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, March 5, 2013

SHAROBARO ASHINDA UBUNGE KWA KISHINDO KENYA

 
 

 
  
 
 
  
 
  
 
SOnko akiwa Bungeni
 
Gari mpya ya Mbunge Sonko

Gidion Kioko Mbuvi almaarufu kwa jina la Mike Sonko (Sheng for "rich person") kupitia chama cha TNA ashinda kwa kishindo nafasi ya usenator wa County ya Nairobi kwa kupata kura 57% ya kura zilizopigwa.

Katika awamu iliyopita Hon Sonko alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Makadara-Nairobi. Na mmoja ya wabunge waliosimama kidete kupigania maslahi ya vijana hasa wale wa hali ya chini katika maeneo yote ya viunga vya jiji la Nairobi. Hii ni inadhihirisha wazi imani kubwa waliyonayo vijana wote wa viunga vya Nairobi dhidi yake.
HONGERA SANA MIKE SONKO: THE NEW SENATOR OF NAIROBI COUNTY


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...