Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimkaribisha Waziri mkuu wa Denmark Mhe. Helle Thorning-Schmidt muda mfupi
baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam jana jioni.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete na mgeni wake Waziri mkuu wa Denmark Mhe. Helle Thorning-Schmidt
wakipokea heshima za nyimbo za Taifa pamoja na saluti ya mizinga 21
katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Waziri mkuu wa Denmark Mhe.
Helle Thorning-Schmidt akipkea shada la maua.
Waziri mkuu wa Denmark Mhe.
Helle Thorning-Schmidt akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake
Waziri mkuu wa Denmark Mhe. Helle
Thorning-Schmidt akisalimiana na kinamama waliofurika uwanjani kumlaki.
Waziri mkuu wa Denmark Mhe.
Helle Thorning-Schmidt na mwenyeji wake wakifurahia burudani mbalimbali
zilizokuwa zikitolewa uwanjani hapo.Picha na Freddy Maro- IKULU
No comments:
Post a Comment