ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, March 4, 2013

SHEKH ISSA PONDA ANALO SHITAKA LA KUJIBU KATIKA KESI INAYOMKABILI





 



 

 



 

 Baadhi ya wafuasi wa shekh Issa Ponda wakionyesha mikono huku wakisema takbir wakati shekh ponda akiwa katika gari la magereza mara baada ya kusomewa shitaka lake na kudai anayo kesi ya kujibu katika mahakama ya kisutu leo 

Askari magereza akimfungua pingu shekh Issa ponda katika mahakama ya kisutu  leo akisubiri kusomewa shitaka lake la kudaia kuvamia katika eneo la markazi changome bila ruhusa mwenyewe 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 Shekh Issa Ponda akisindikizwa na askari wa jeshi la magereza mara baada ya kusomewa shitaka lake jana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...