ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, March 15, 2013

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe Akutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani


 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard  Membe akiagana na Prof. Braun.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akiwa katika mazungumzo na Prof. Harald Braun, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani alipomtembelea Wizarani na kuzungumzia masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Ujerumani.
 Mhe. Membe akifurahia jambo kwa pamoja na Prof. Braun na  Balozi Brandes mara baada ya mazungumzo yao.
Mhe. Membe akiendelea na mazungumzo na Prof. Braun huku wajumbe waliofuatana na Katibu Mkuu huyo wa Ujerumani akiwemo Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Mhe. Claus Peter Brandes (mwenye tai nyekundu kushoto)  na wajumbe kutoka Wizarani akiwemo Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Balozi Dora Msechu (wa kwanza kushoto kwa Waziri) wakisikiliza.Picha Zote na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...