LEO NI KUMBUKUMBU YA MAREHEMU EDWARD MORINGE SOKOINE ALIYEFARIKI KWA AJALI YA GARI 12/04/1984 LEO ANATIMIZA MIAKA 29
Ndugu Edward Moringe
Sokoine (01/08/1938-12/04/1984) alikuwa Waziri Mkuu wa aina yake nchini
Tanzania. Aliongoza katika kipindi ambacho nchi ilikuwa katika hali ngumu sana
ya kiuchumi. Leo ni miaka 29 toka Taifa limpoteze shujaa huyu.
No comments:
Post a Comment