ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, April 12, 2013

Rais Jakaya Kikwete Azindua Mradi Wa Ukarabati na Upanuzi Wa Miundombinu ya Kusambaza Umeme Mkoani Dodoma Chini ya Ufadhili ya Serikali ya Marekani Kupitia MCC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia huku  Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakimpongeza kwa ishara hiyo ya  uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC  jana  April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku akishuhudiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na  Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakishuhudia uzinduzi huo wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za  uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC  jana April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza  Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes kwa hotuba nzuri katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana  April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes aliyemponegza kwa hotuba nzuri ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana  April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi  na wafanyakazi wa shirika la umeme Tanzania(TANESCO)katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC  jana  April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana  April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...