Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa
maabara wa kituo cha afya cha Mlandizi ,wilayani Kibaha katika mkoa wa
Pwani, Bwana Sostenes Nyang’olo, jinsi ya kuchukua vipimo vya damu na
makohozi kutoka kwa wagonjwa wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo
kitaifa iliyofanyika huko Mlandizi tarehe 22.4.2013.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na akinamama na akina baba
waliowaleta watoto wao kwa ajili ya chanjo wakati wa uzinduzi rasmi wa
wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko Mlandizi, wilayani Kibaha
tarehe 22.4.2013.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na akinamama na akina baba
waliowaleta watoto wao kwa ajili ya chanjo wakati wa uzinduzi rasmi wa
wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko Mlandizi, wilayani Kibaha
tarehe 22.4.2013. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na akinamama na akina baba waliowaleta watoto wao kwa ajili ya chanjo wakati wa uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko Mlandizi, wilayani Kibaha tarehe 22.4.2013. walioweza kuwaleta watoto wadogo kwenye chanjo wakiambatana na wake zao.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mheshimiwa Dr. Seif Rashid wakishiriki kuimba na kikundi cha kwaya cha Anglican Compassion kutoka Bagamoyo wakati wa uzinduzi rasmi wa chanjo kitaifa ulifanyika katika kijiji cha Mlandizi tarehe 22.4.2013.
No comments:
Post a Comment