Mabango elimishi ya Sumatra na la
Jeshi la Polisi yaliyoonyeshwa wakati wa hafla fupi ya makabidhiano
“vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika
katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra
Mr.Kilima (kulia) akimkabidhi “vipima ulevi” Mkuu wa Jeshi la Polisi
Tanzania IGP. Said Mwema (kushoto) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano
hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika
ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
IGP. Said Mwema akimkabidhi “Vipima ulevi” Kamanda wa Kikosi cha Usalama
Barabarani Tanzania – SACP. Mohammed R. Mpinga, wakati wa hafla fupi ya
makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra
yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.

Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra
Mr.Kilima akisoma hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano
“vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika
katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania -
IGP. Said Mwema akitoa hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano
“vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra
yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.

Maafisa mbalimbali wa Jeshi la
Polisi na washiriki mbalimbali wakati wa hafla fupi ya makabidhiano
“vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika
katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.

Washiriki mbalimbali wakishuhudia
makabidhiano ya “vipima ulevi” wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo
kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi
za Sumatra Makao Makuu.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama
Barabarani Tanzania (SACP - Mohammed R. Mpinga) na Viongozi mbalimbali
wa Sumatra wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla fupi ya
makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra
yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
No comments:
Post a Comment