Hizi ni mbwembwe za jeshi la
Kenya wakati wa maandalizi ya sherehe ya kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta
Maelfu ya wamanchi wakishuhudia
Utii kwa Rais

Kenyata akiapishwa

Kibaki akikabidhi madaraka rasmi kwa Kenyatta

Kibaki akiwaaga Wakenya

Maelfu ya wamanchi wakishuhudia

Utii kwa Rais

Kenyata akiapishwa

Kibaki akikabidhi madaraka rasmi kwa Kenyatta

Kibaki akiwaaga Wakenya

Polisi kwenye pikipiki
wakimuelekeza njia rais mstaafu Mwai Kibaki wakati akiwasalimia wakenya
Wageni mashuhuri wakiweno marais wa
nchi kadhaa za Afrika pamoja na wanadiplomasia na maelfu ya wananchi
walishuhudia sherehe hizo katika uwanja wa michezo wa Kasarani viungani
mwa mji wa Nairobi.
Odinga hakuhudhuria sherehe hizo baada ya jitihada zake kutaka mahakama ya juu zaidi kubatilisha matokeo ya uchaguzi kukosa kufua dafu.
Kenyatta na naibu wake William Ruto wanakabiliwa na kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu katika mahakama ya uhalifu wa kivita ICC . Wanadaiwa kuwa washukiwa wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika miaka mitano iliyopita.

Rais mpya wa Kenya Uhuru Kenyatta ameapishwa hii leo na kuchukua uongozi kutoka kwa Rais anayeondoka mamlakani Mwai Kibaki.
Hii ni baada ya Uhuru kumshinda Raila Odinga katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe nne mwezi Machi .Odinga hakuhudhuria sherehe hizo baada ya jitihada zake kutaka mahakama ya juu zaidi kubatilisha matokeo ya uchaguzi kukosa kufua dafu.
Kenyatta na naibu wake William Ruto wanakabiliwa na kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu katika mahakama ya uhalifu wa kivita ICC . Wanadaiwa kuwa washukiwa wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika miaka mitano iliyopita.
No comments:
Post a Comment