Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein na
viongozi wengine wa juu wakisoma dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya
Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar jana
April 7, 2013 

Shekhe
wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Alhad Mussa Salum akitoa mawaidha wakati
wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya
CCM Kisiwandui Zanzibar jana April 7, 2013 

Kiongozi
wa Kanisa la Anglikana la Zanzibar akiomba dua wakati wa maadhimisho ya
Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui
Zanzibar jana April 7, 2013 

Wake
za vionvgozi mbalimbali pamoja na mabalozi wakiwa katika dua wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM
Kisiwandui Zanzibar jana April 7, 2013
Kiongozi
wa Kihindu akiomba dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa
(Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar jana April 7,
2013
![]() |
Hayati Karume |
No comments:
Post a Comment