
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na
watoto waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa
wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam jana April 7, 2013
walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete
wakishuka kutoka kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji
Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam jana April 7, 2013
walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment