Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya
Kiislamu
wakilibeba
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Haji Gharib Bilali,mdogo
wake
Makamo wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania
Dk.Mohammed Gharib Bilal,kabla ya kuswaliwa
katika msikiti wa Kilimani
Mjini Unguja leo na kuzikwa Mwera,Wilaya ya
Magharibi Unguja,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji,akiongoza
Swala
ya maiti ya Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake Makamo
wa
Rais
wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed
Gharib
Bilal,katika msikiti wa Kilimani Mjini
Zanzibar,ambapo viongozi mbali
mbali wa Kitaifa walihudhuria katika msiba
huo,na kuzikwa Mwera,Wilaya
ya Magharibi Unguja.
Makamo
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
Mohamed
Gharib Bilal,akitia udongo katika kaburi la Mdogo wake
Marehemu
Haji Gharib Bilali, wakati wa maziko yaliyofanyika leo
jioni
huko Mwera,Wilaya ya Magharibi
Unguja.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete,akitia
udongo katika kaburi la Marehemu Haji Gharib Bilali,
Mdogo
wake Makamo wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa
Tanzania Dk.Mohammed Gharib Bilal, wakati wa
maziko yaliyofanyika leo
mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,,akitia udongo katika kaburi la
Marehemu
Haji Gharib Bilali, Mdogo wake Makamo wa Rais wa Serikali
ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed
Gharib Bilal, wakati wa
maziko yaliyofanyika leo jioni huko Mwera,Wilaya
ya Magharibi
Unguja
No comments:
Post a Comment