
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kufungua barabara ya Tanga –
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa
kilomita 65.14 akiwa ameongiozana na Naibu waziri wa wizara ya ujenzi,
Mhe Gerson Lwenge (kulia), Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani
nchini Mhe Alfonso Lenhardt, na mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe Chiku Gallawa
(kushoto) Barabara ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha
Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu
umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za
Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa
barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya
kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika
kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya
na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya
Afrika Mashariki.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi barabara ya
Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa
kilomita 65.14 akisaidiana na Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu
wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani
nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu
ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia
mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation –
MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya
Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.
Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati
ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la
Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia baada ya
kufungua rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa
kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akiwa na Bw. Daniel
Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa
Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara
hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania
na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata
msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia
(Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni
utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha
miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa
barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na
hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika
Mashariki.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Bw. Daniel Wolde Yohannes,
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC) na
viongozi na wadau mbalimbali wakikata utepe kwa pamoja kuashiria
uzinduzi rasmi wa barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa
kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Barabara hii ya
Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi
jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa
Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium
Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji
wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya
usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa
za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi
fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

ta5: Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti kama
kumbukumbu yaq ufunguzi rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo
imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14.
Kuhsorto kwake ni Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa
Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), na kulia kwake ni Balozi wa
Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro
ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya
kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani
kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma
ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri
wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa
za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Msafara wa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ukipita juu
ya sehemu ya barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango
cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Barabara hii ya Tanga –
Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani
ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya
Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma
ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri
wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa
za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment