Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa nyumba za waalimu katika
shule ya Sekondari ya Mboga, iliyopo kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza jambo Diwani wa Kata ya Msoga
Bwana Mohamed Mzimba wakati Rais alipotembelea shule ya Sekondari ya
Mboga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule
ya sekondari ya Mboga kata ya Msoga leo wakati Rais alipotembelea shule
hiyo jana kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za waalimu shuleni
hapo.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment