Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam Abdallah
Zombe akitoka Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam jana,mara baada ya
notisi ya rufaa dhidi yake kugundulika ina mapungufu,kulia ni Wakili
wake Richard Rweyongeza.
Rufaa hiyo ilitarajiwa kusikilizwa jana na Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, lililoonozwa na Jaji Edward Rutakangwa.
No comments:
Post a Comment