Picha ya mchoro ya kivuko cha Dar es Salaam – Bagamoyo kitakavyokuwa.
Mtendaji Mkuu wa TEMESA Mhandisi Marceline Magesa (mwanamke) , na mwakilishi wa kampuni ya JOHS GRAM HANSSEN A/S ya Denmark Andreas Gottrup wakiweka saini mkataba wa ujenzi wa Kivuko cha Dar
es Salaam- Bagamoyo jana jijini Dar es Salaam, katika hafla
iliyoshuhudiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (aliesimama
katikati) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mecky Sadick(alie vaa shati la kitenge) Balozi wa Denmark nchini Tanzania Mh, Johnny Flinto(mzungu aliesimama mstari wa nyuma). Pamoja na watendaji wakuu wa Wizara ya Ujenzi.
Mtendaji Mkuu wa TEMESA Mhandisi Marceline Magesa (mwanamke)na mwakilishi wa kampuni ya JOHS GRAM HANSSEN A/S ya Denmark Andreas Gottrup wakibadilishana mikataba baada ya kuweka saini mkataba wa ujenzi wa Kivuko ch Dar
es Salaam- Bagamoyo jana jijini Dar es Salaam, katika hafla
iliyoshuhudiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (aliesimama
katikati) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mecky Sadick(alie vaa shati la kitenge) Balozi wa Denmark nchini Tanzania Mh, Johnny Flinto(mzungu aliesimama mstari wa nyuma)Pamoja na watendaji wakuu wa Wizara ya Ujenzi.
No comments:
Post a Comment