
Mwizi wa 
mkongo wa mawasiliano amekamatwa akiwa na vipande vya mkongo maeneo ya 
boko darajani jijini Dar es salaam. Matukio kama haya yamekuwa ni 
vipingamizi katika kutoa huduma bora kwa wateja wetu.
Kutokana 
na hali hiyo, sisi kama wadau wa mawasiliano, tunapenda kuwaasa 
Watanzania kwa ujumla, kama kweli tuna uzalendo wa kweli na mapenzi ya 
dhati na kampuni yetu ya mawasiliano inabidi  kujitoa zaidi katika 
kufanikisha usalama wa miundombinu ya kampuni yetu.
Kwa matukio yeyote kama haya naomba msisite kutoa taarifa polisi au toa taarifa kwa namba zifuatazo:- 0737206622 , 0737206623, 0737206624 ,
MSEMAJI
OFISI ZA MKONGO WA TAIFA
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:
Post a Comment