ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, May 17, 2013

Bill Gates ashika tena nafasi ya kwanza ya Utajiri Duniani nafasi ambayo hakuishika tangu mwaka 2007

Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2007, Bill Gates ameshika tena nafasi yakwanza ya utajiri duniani akimpita mpinzani wake wa karibuCarlos Slim

Utajuri wa Bill Gates ulifikia dola 72.7 bilioni jana saa $ p.m New York kulingana na statistics za Bloomberg Billionainres Index.

Bill Gates Mwenye umri wa miaka 57 tu amempita Carlos Slim kwa dola 550 milioni. Carlos Slim sasa na utajiri unaofikia dola 72.1 bilioni. Bill Gates ni mwanzilishi wa makampuni ya Redmond, Washington-based Microsoft Corp (MSFT), utajiri wake umepanda kwa dola bilioni 10 mwaka huu. Wakati huo huo, utajiri wa Carlos Slim mwenye umriwa miaka 72, umeshuka kwa dola bilioni 2 mwaka huu na hii  ni baada ya bunge la Mexico kupitisha mswada unaombinya bilionea huyo kumiliki au kuhodhi utajiri wote wa nchi ambayo ni maskini. Mexico inafanyia marekebisho sera zake za uchumi hivyo kadhia hii imemkuta Slim ambaye anaonekana kuwa tajiri sana duniani. Makampuni yake ya simu hayana mshindani (monopoly) hivyo wateja wake kujikuta wanalipa kodi kubwa kuliko yeye mwenyewe.

 


 














                                











No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...