ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, May 16, 2013

DAVID BECKAM NAYE ATANGAZA KUSTAAFU SOKA MWISHONI MWA MSIMU HUU




Habari za kustaafu kwa wanasoka zinasidi kuitikisa nchi ya Uingereza 
 baada ya magwiji wa soka na kocha maarufu kustaafu kufundisha soka.
 Wiki moja baada ya kustaafu kwa Sir Alex Ferguson, Paul Scholes, leo hii mchezaji wa zamani wa Man United na nahodha wa zamani wa England DAVID BECKHAM ametangaza kustaafu.
Beckham mwenye umri wa mika 38, ameisadia Paris Saint-Germain PSG Kutwaa ubwingwa Ligue 1 nchini Ufaransa kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 19 mwishoni mwa wiki iliyopita
Pamoja na kupewa ofa ya mkataba mpya na timu hiyo ya Ufaransa, mkongwe huyo atastaafu baada ya mchezo wa mwisho tarehe 26 mwezi huu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...