ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, May 30, 2013

RAIS KIKWETE KUNUNULIWA NDEGE MPYA BOEING 787





 Mwenyekiti wa Good News for All Ministry, Askofu Charles Gadi (katikati) akiwa pamoja na Katibu wake, Mchungaji Palemo Massawe (kulia) na Ofisa Habari wa Taasisi hiyo, Sailas Malula wakionesha mfano wa hundi ya Shilingi Milioni moja ambayo wanataraji kuikadhi Hazina kwaajili ya kununua ndege mpya ya serikali. Taasisi hiyo ambayo hujishughulisha na maombi imewaambia wana habari kuwa imeamua kuendesha zoezi hilo kwaajili ya kununua ndege mpya ya Rais.


Mwenyekiti wa Good News for All Ministry, Askofu Charles Gadi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam jana juu ya kuendesha zoezi la kuchangisha fedha ya kununulia ndege mpya ya Rais. Pamoja nae ni Ofisa Habari wa Taasisi hiyo, Sailas Malula.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...