Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakipozi kwa picha dakika chache kabla ya
kumpokea na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Dk Charles
Kimei, katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia
kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo' jijini Dar es Salaam.
Emmanuel Kiondo (wa tatu kushoto), akijiandaa kumpa mkono Mkurugenzi
Mtendaji wa CRDB Dk Charles Kimei wakati akiwasili Kempinski Hoteli kwa
ajili ya uzinduzi wa FahariHuduma ya benki hiyo.
Emmanuel Kiondo, akimpa mkono Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk Charles
Kimei wakati akiwasili Kempinski Hoteli kwa ajili ya uzinduzi wa
FahariHuduma ya benki hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa akizungumza machache kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo' jijini Dar es Salaam.
Dk Kimei akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za Benki
ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo'.
No comments:
Post a Comment