Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania
Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza Akionesha kifaa cha kuifazia takataka ambapo jumla ya Vifaa vya kisasa 130 vya Kuhifadhia Taka vilitolewa na kampuni hiyo
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania
Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi
Meneja wa Baa ya Mama Kamche's iliyoko Mwenge, Patrick Mrema, kifaa cha
kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la
kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa
mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam,
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania
Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi
Meneja wa Baa ya Etina iliyoko Mwenge,Egbert Mtunza, kifaa cha
kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la
kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa
mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya
ya Ilala waligawa vifaa
Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania
Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi
Meneja wa Baa ya Calabash iliyoko Mwenge, JUMA Kihoma, kifaa cha
kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la
kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa
mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika leo. Katika
Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50.
Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania
Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza Akizungumza na wana habari wakati wa kugawa vifaa vya kuhifadhia takataka
No comments:
Post a Comment