ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, June 10, 2013

Dimond Platnumz akiwa katika uzinduzi wa Novida kinyaji kipya kutoka Cocacola ambapo Diamond ndiye Balozi wa kinyaji hicho

Usiku wa jana kampuni ya vinywaji baridi ya Coca cola
 walikuwa wakizindua kinwaji kipya kabisa 
non-alcohol
kinachoitwa NOVIDA .na mimi kama
 barozi wa
 cocacola nchini nilipewa fulsa ya kwenda kushuhudia uzinduzi huo
nikiwa njiani kuelekea Akemi Golden Jubelee
 Plaza kulikokokuwa kukifanyika
uzinduzi wa kinywaji cha NOVIDA

Sikuwa peke yangu,niliongozana
 with ma boy,Romy Jones

Naheshimu sana fans wangu,hawa ni moja ya fans wangu
 waliotaka picha ya ukumbusho
 baada ya kuniona nikiingia
                                                                                    

Nikipata picha pamoja na fans wangu
Upande wa kaunta
Baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa
 habari wakisubili time ya kuzinduliwa
 rasmi kinwaji cha NOVIDA
                                                                              
Mrembo akifungua kitambaa kama ishara ya
 kuzinduliwa na kutambulishwa
Kwa picha na story kiundani zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...