ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, June 12, 2013

Mama alala juu ya Paa la nyumba yake kwa siku tano bila kula wala kunywa akipinga nyumba yake kuuzwa kinyume cha taratibu.




Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Azelina Mrema mkazi wa Mbezi tangi bovu jijini Dar es salaam analala na kushinda juu ya paa la nyumba yake kwa siku ya tano sasa akipinga kuondolewa kwa nguvu kwenye nyumba yake bila kufuata taratibu na madalali wa benki

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...