Jeshi
la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemfukuza kazi askari wake wa
kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni
kutokana na utovu wa nidhamu.
Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova amesema, Amisa amefukuzwa kazi kwa kuwa amekiuka maadili ya Jeshi kwa kitendo chake cha kupiga picha za utupu zilizoonekana katika mitandao.

No comments:
Post a Comment