Yule kijana alieanza kujulikana
shughuli zanke za kuruka na kujinyonganyonga kupitia video ya wimbo wa
MR NICE wa KIKULACHO Jina lake halisi ni ATHUMAN FORD ATHUMAN A.K.A
wabogojo watanzania wengi wanatamani kujua alipo na anachokifanya
kuendeleza kipaji chake. Huyu jamaa yuko zake MAKAU CHINA katika mji wa
WAMACASINO kama LAS VEGAS Huko marekani akifanya kazi katika show za THE
HOUSE OF DANCING WATER
Mungu mjalie mtanzania mwezetu aweze kufika mbali katika kazi zake
chanzo PAMOJAPURE
No comments:
Post a Comment