Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akizungumza jambo na na baadhi ya viongozi
wa madhehebu ya dini Mkoa wa Dar es Salaam walipomtembelea ofisini kwake
jijini Dar es Salaam leo. Kushoto (mbele) ni Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima. Kulia ni Kamishna wa Operesheni
wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi
akifafanua jambo katika mazungumzo hayo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi
(katikati) akimsikiliza kwa makini mmoja wa viongozi wa dini (kulia)
wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati walipokuwa wakijadiliana masuala mbalimbali
ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Felix Mwagara wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment