ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, July 10, 2013

ZIARA YA WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA UJENZI WA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM


Muoenekano wa ujenzi wa mradi wa daraja la Kigamboni katika awamu ya kwanza ambalo umekamilika kwa asilimia 47, katika mradi huo ujenzi huo  utagharimu sh.Bilioni 214,kati ya fedha hizo asilimia 60 zimetolewa na Shirika la Hifadhi ya Mfuko wa Jamii (NSSF). Picha hii imepigwa jana wakati Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli hayupo pichani wakati alipofanya ziara ya siku moja  ya kukagua maendeleo  ya ujenzi wa miradi ya Dar es Salaam ikiwemo ya ujenzi wa daraji hili.
 Muonekano wa ujenzi unaoendelea wa ujenzi wa barabara ya Davis Corner- Vituka – Jet Corner
 Ujenzi wa Daraja katika maeneo ya tegeta wilaya ya kinondoni ukiendelea
Sehemu ya mwonekano wa kituo cha mabasi ya mwendo kasi enep la ferry kigamboni
Baadhi ya ujenzi wa vituo vya mradi wa Mabasi ya mwendo kasi (DART)  barabara ya eneo la Ubungo,Mwembechai , Jangwani na  Kivukoni vikiendelea,
Sehemu ya muonekano wa kituo cha mabasi ya mwendo kasi  eneo la Kigamboni.
 Waziri wa Ujenzi Dkt, John Magufuli, (mwenye kofia ya pama) akiongea na  Diwani  wa kata ya Mwenge Dkt. Julian Bujugo(aliemshika begani) wakati ya ziara yake.
Picha ya Pamoja kati ya Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli  pamoja na viongozi waliokuwa katika ziara yake.Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...