Bilionea wa madini ya Tanzanite Arusha Erasto Msuya ameuwawa kwa kupigwa risasi
Mfanyabiashara maarufu wa madini Mererani na Mmiliki wa SG RESORT
ya Arusha, Bw. Erasto Msuya Amepigwa risasi ndani ya gari lake na kufa
papo hapo mida hii akitokea Mererani kuelekea Moshi.
No comments:
Post a Comment